
Mauzo-Ultra
Jua mauzo yako. Ielewe biashara yako.
Weka mauzo ya kila siku, stoo na salio la wateja katika sehemu moja. Pata taarifa unazohitaji bila kutafuta kwenye kumbukumbu zilizotawanyika.
Inafaa: Maduka, wauzaji wa jumla, stationery na watoa huduma.
- Mauzo yenye mpangilio
- Stoo unayoweza kufuatilia
- Picha iliyo wazi ya fedha
- Nyaraka zenye utambulisho wako


B-Property