Utaalamu kwa hatua yako mpya.
Chagua unachohitaji. Tutakusaidia kupanga hatua inayofuata.
Huduma
23 matokeoMifumo ya Mikopo Midogo
Simamia maombi ya mikopo, ratiba za marejesho na taarifa za wanachama.

Mifumo ya Usimamizi wa Shule
Panga udahili, taarifa za wanafunzi, madarasa na mawasiliano ya shule.

Mifumo ya Supermarket na Mini-supermarket
Unganisha mauzo, hesabu za bidhaa na taarifa za stoo.

Mifumo ya Maduka ya Dawa
Panga stoo ya dawa, mauzo na ufuatiliaji wa muda wa matumizi.

Mifumo ya Rejareja na Jumla
Fuatilia bidhaa, mauzo na oda za wateja kwenye biashara yako.

Mifumo ya Migahawa
Simamia menyu, oda na mauzo katika mfumo mmoja.

Mifumo ya Usimamizi wa Viwanda
Panga na fuatilia shughuli, stoo na taarifa za uzalishaji.

Mifumo ya Washauri wa Kodi
Panga taarifa za wateja, tarehe muhimu na kazi za ushauri.

Mifumo ya Mawakili na Ushauri wa Sheria
Panga masuala ya wateja, miadi na nyaraka.

Huduma za Ujumbe Mfupi kwa Wingi
Panga taarifa na ujumbe wa wateja kupitia watoa huduma za SMS wanaotumika.

Mifumo ya Upangishaji wa Nyumba
Panga orodha ya nyumba, wapangaji na taarifa za upangishaji.

Mifumo ya Taasisi za Dini
Saidia usimamizi wa wanachama, matukio na mawasiliano ya taasisi yako.

